CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 28
Kamilisha methali ifuatayo: Mwenda tezi na omo, ___
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Msamiati, Methali
28. Kamilisha methali ifuatayo: Mwenda tezi na omo, ______
- Ahuenda kabisa
- Bmajeo yapo
- Cmarejeo ni ngamani
- Dmarejeo ni omo
Answer
C. marejeo ni ngamani
Methali kamili ni "Mwenda tezi na omo, marejeo ni ngamani".
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Nomino ya picha hii iko katika ngeli gani?Question 29
- Tegua kitendawili: Pitia huku nami nipitie huko tupatane pale.Question 30
- Mazungumzo haya yalikuwa kati ya nani na nani?Question 1
- Ni nini umuhimu wa kamusi kulingana na mwalimu?Question 2
- Kwa nini mwalimu anaona kamusi ni bora kuliko kutumia intaneti?Question 3
- Ni maamkuzi gani yalitumika kwenye mazungumzo haya?Question 4