CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 30
Tegua kitendawili: Pitia huku nami nipitie huko tupatane pale.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Msamiati, Vitendawili
30. Tegua kitendawili: Pitia huku nami nipitie huko tupatane pale.
- AKivuli
- BMshipi
- CMkono
- DNjia
Answer
B. Mshipi
Ncha mbili za mshipi huzunguka kiuno na kukutana mbele.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Mazungumzo haya yalikuwa kati ya nani na nani?Question 1
- Ni nini umuhimu wa kamusi kulingana na mwalimu?Question 2
- Kwa nini mwalimu anaona kamusi ni bora kuliko kutumia intaneti?Question 3
- Ni maamkuzi gani yalitumika kwenye mazungumzo haya?Question 4
- Kulingana na mwalimu, kamusi inaweza kutegemewa kwa muda wa kiasi gani?Question 5
- Ni nini kilichosababisha moto kijijini?Question 6