CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 29
Nomino ya picha hii iko katika ngeli gani?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli

29. Nomino ya picha hii iko katika ngeli gani?
- AA-WA
- BLI-YA
- CU-I
- DI-ZI
Answer
C. U-I
Picha ni ya mkate: mkate – mikate, ngeli ya U-I.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Tegua kitendawili: Pitia huku nami nipitie huko tupatane pale.Question 30
- Mazungumzo haya yalikuwa kati ya nani na nani?Question 1
- Ni nini umuhimu wa kamusi kulingana na mwalimu?Question 2
- Kwa nini mwalimu anaona kamusi ni bora kuliko kutumia intaneti?Question 3
- Ni maamkuzi gani yalitumika kwenye mazungumzo haya?Question 4
- Kulingana na mwalimu, kamusi inaweza kutegemewa kwa muda wa kiasi gani?Question 5