CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 25
Andika sentensi hii upya katika kauli ya kutendewa: Mama alipika chakula.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kauli
25. Andika sentensi hii upya katika kauli ya kutendewa: Mama alipika chakula.
- AMama alipika chakula kitamu.
- BChakula kilipikwa na mama.
- CTulipikiwa chakula na mama.
- DMama hupika chakula.
Answer
C. Tulipikiwa chakula na mama.
Kutendewa: tulipikiwa (kitendo kilifanywa kwa ajili yetu); kutendwa: chakula kilipikwa.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Onyesha kiambishi cha wakati kwenye sentensi hii: Nitanawa mikono kabla ya kula chakula.Question 26
- Mkusanyiko wa mishororo kwenye shairi huitwaQuestion 27
- Kamilisha methali ifuatayo: Mwenda tezi na omo, ___Question 28
- Nomino ya picha hii iko katika ngeli gani?Question 29
- Tegua kitendawili: Pitia huku nami nipitie huko tupatane pale.Question 30
- Mazungumzo haya yalikuwa kati ya nani na nani?Question 1