CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 24
Chagua kitenzi kwenye sentensi ifuatayo: Ninalipenda taifa letu la Kenya.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi
24. Chagua kitenzi kwenye sentensi ifuatayo: Ninalipenda taifa letu la Kenya.
- ATaifa
- BLa
- CPenda
- DKenya
Answer
C. Penda
"Penda" ni kitendo.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi hii upya katika kauli ya kutendewa: Mama alipika chakula.Question 25
- Onyesha kiambishi cha wakati kwenye sentensi hii: Nitanawa mikono kabla ya kula chakula.Question 26
- Mkusanyiko wa mishororo kwenye shairi huitwaQuestion 27
- Kamilisha methali ifuatayo: Mwenda tezi na omo, ___Question 28
- Nomino ya picha hii iko katika ngeli gani?Question 29
- Tegua kitendawili: Pitia huku nami nipitie huko tupatane pale.Question 30