CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 23
Ni kifaa kipi hakipatikani sebuleni?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Msamiati
23. Ni kifaa kipi hakipatikani sebuleni?
- AGodoro
- BKochi
- CMeza
- DRuninga
Answer
A. Godoro
Godoro hukaa chumbani mwa kulala.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua kitenzi kwenye sentensi ifuatayo: Ninalipenda taifa letu la Kenya.Question 24
- Andika sentensi hii upya katika kauli ya kutendewa: Mama alipika chakula.Question 25
- Onyesha kiambishi cha wakati kwenye sentensi hii: Nitanawa mikono kabla ya kula chakula.Question 26
- Mkusanyiko wa mishororo kwenye shairi huitwaQuestion 27
- Kamilisha methali ifuatayo: Mwenda tezi na omo, ___Question 28
- Nomino ya picha hii iko katika ngeli gani?Question 29