CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 22
Unapomuaga mtu ukitarajia kuonana naye siku inayofuata utatumia agano lipi?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Msamiati, Maagano
22. Unapomuaga mtu ukitarajia kuonana naye siku inayofuata utatumia agano lipi?
- ASafari salama
- BLala unono
- CTuonane kesho
- DFika salama
Answer
C. Tuonane kesho
Kesho ni siku inayofuata.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni kifaa kipi hakipatikani sebuleni?Question 23
- Chagua kitenzi kwenye sentensi ifuatayo: Ninalipenda taifa letu la Kenya.Question 24
- Andika sentensi hii upya katika kauli ya kutendewa: Mama alipika chakula.Question 25
- Onyesha kiambishi cha wakati kwenye sentensi hii: Nitanawa mikono kabla ya kula chakula.Question 26
- Mkusanyiko wa mishororo kwenye shairi huitwaQuestion 27
- Kamilisha methali ifuatayo: Mwenda tezi na omo, ___Question 28