naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 21

Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo. Andika sentensi hii kwa wingi: Mwalimu wetu alitusihi tushirikiane katika masomo.

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi, Umoja na Wingi

21. Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo.
Andika sentensi hii kwa wingi: Mwalimu wetu alitusihi tushirikiane katika masomo.

  1. AMwalimu wetu alitusihi tushirikiane katika masomo.
  2. BWalimu wetu walitusihi tushirikiane katika masomo.
  3. CWalimu wangu alinisihi nishirikiane katika masomo.
  4. DWalimu wetu walitusihi nishirikiane katika masomo.

Answer

B. Walimu wetu walitusihi tushirikiane katika masomo.

Mwalimu → walimu, alitusihi → walitusihi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test