naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 11

Nini kilichosababisha ajali kwenye hadithi?

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu swali la 10 hadi 12.
Kama inavyosemekana, ajali haibishi hodi! Juma alikuwa akisafiri kwenye barabara ya mlimani kuelekea kijijini, alisikia kishindo kikubwa pembeni mwa barabara. Alisimamisha gari lake kwa haraka na kukimbia kuelekea mahali pa tukio. Alipofika, alipata gari limepinduka. Watu wachache walikuwa wamejeruhiwa vibaya.
Bila kusita, Juma alianza kutoa huduma ya kwanza kwa majeruhi. Alitumia viatu vya kukinga miguu kuhakikisha usalama wake. Alitumia vipande vya pamba kusafisha na kuziba majeraha ya watu waliojeruhiwa. Alifunga bandeji kuzunguka viungo vilivyovunjika na kutoa sindano ya adrenali kwa mtu aliyekuwa katika hali ya mshtuko.
Kwa kutumia maarifa yake ya huduma ya kwanza, Juma alisaidia kuokoa maisha ya majeruhi na kuhakikisha wanapata matibabu ya haraka zaidi. Baada ya kutibu majeruhi, alitumia makalio ya kunyooshea kusaidia kurekebisha gari lililopinduka ili kuondoa hatari kwa wapita njia wengine.

11. Nini kilichosababisha ajali kwenye hadithi?

  1. AGari kupinduka.
  2. BKucheza michezo.
  3. CKufanya kazi.
  4. DKufanya safari ya likizo.

Answer

A. Gari kupinduka.

Gari lilipinduka pembeni mwa barabara ya mlimani.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test