CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 16
Chagua jibu sahihi la pengo 16.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kujaza Mapengo
Soma kifungu hiki kisha uchague jibu sahihi kujaza nafasi za 16 hadi 20.
Tarehe kumi mwezi __16__ Mei, mwaka uliopita, __17__ wa gredi ya tano wa shule ya Tumaini walienda kuwatembelea mayatima kwenye Kijiji cha Lalahoi. __18__libeba vyakula kama vile viazi__19__ mahindi, maharagwe __20__ mchele.
16. Chagua jibu sahihi la pengo 16.
- Awa
- Bla
- Cya
- Dza
Answer
A. wa
Mwezi ni ngeli ya U-I: mwezi wa Mei.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi la pengo 17.Question 17
- Chagua jibu sahihi la pengo 18.Question 18
- Chagua jibu sahihi la pengo 19.Question 19
- Chagua jibu sahihi la pengo 20.Question 20
- Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo. Andika sentensi hii kwa wingi: Mwalimu wetu alitusihi tushirikiane…Question 21
- Unapomuaga mtu ukitarajia kuonana naye siku inayofuata utatumia agano lipi?Question 22