CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025
Kiswahili — Midterm One Assessment 2025 (Set 2) · Midterm One Assessment 2025 (Set 2) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi, Msamiati.
All 30 questions with answers
- Question 1: Kitu kinachosaidia kichwa kufikiri niAnswer: B. ubongo
- Question 2: Mtu akitaka kuhisi ladha ya kitu atatumiaAnswer: A. ulimi
- Question 3: Nguo tunafua ilhali mwili tunaAnswer: A. oga
- Question 4: Kazi ya tumbo niAnswer: B. kupokea chakula
- Question 5: Anayezungumza anaupenda mwili wake kwa hivyo anauAnswer: A. tunza
- Question 6: Mbwa alimwibia nani nyama?Answer: C. Bwana Bucha
- Question 7: Baada ya kuiba nyama, mbwa alianzaAnswer: B. kutoroka
- Question 8: Mto ule ulikuwa naAnswer: B. daraja ndogo
- Question 9: Mbwa alivuka mto huku akiangaliaAnswer: C. kwenye maji
- Question 10: Mbwa alipoiona nyama nyingine majiniAnswer: A. aliitamani
- Question 11: Mama alimtaka shangazi afanye nini?Answer: D. Amhudumie.
- Question 12: Shangazi ni nani?Answer: B. Dada ya baba.
- Question 13: Kupata nafuu ni sawa naAnswer: C. kupona
- Question 14: Mtu akiwa mgonjwa ni vizuriAnswer: D. ale na anywe.
- Question 15: Nini kitamfanyikia mgonjwa asipokula?Answer: B. Hudhoofika zaidi.
- Question 16: Chagua jibu sahihi la pengo 16.Answer: C. ya
- Question 17: Chagua jibu sahihi la pengo 17.Answer: A. nyingi
- Question 18: Chagua jibu sahihi la pengo 18.Answer: B. mkuu
- Question 19: Chagua jibu sahihi la pengo 19.Answer: A. ya
- Question 20: Chagua jibu sahihi la pengo 20.Answer: B. mwetu
- Question 21: Jibu swali kulingana na maagizo. Ni neno lipi kati ya haya lililo katika ngeli ya LI-LI?Answer: B. Jasho
- Question 22: Maneno yapi si visawe?Answer: C. Baba - Papa
- Question 23: Jaza kwa kiambishi sahihi. Miti ___ likatwa yote.Answer: B. i
- Question 24: Ukubwa wa mto niAnswer: C. jito
- Question 25: Kamilisha: Mrefu kamaAnswer: B. twiga
- Question 26: Ni ipi ni nomino ya pekee kati ya hizi?Answer: C. Aprili
- Question 27: Kamilisha methali hii: Mtaka cha mvunguni ___Answer: A. sharti ainame
- Question 28: Kitegue kitendawili kifuatacho. Nyumba yangu haina mlango.Answer: A. Yai
- Question 29: Maneno haya yatafuatana vipi katika kamusi? beti, beba, babu, bibiAnswer: D. babu, beba, beti, bibi
- Question 30: Chagua kielezi katika sentensi hii. Mtoto amekula chakula chake vizuri.Answer: C. vizuri