CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 28
Kitegue kitendawili kifuatacho. Nyumba yangu haina mlango.
From Kiswahili — Midterm One Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Msamiati, Vitendawili
28. Kitegue kitendawili kifuatacho.
Nyumba yangu haina mlango.
- AYai
- BJiwe
- CSanduku
- DChungu.
Answer
A. Yai
Yai halina mlango wala dirisha.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Maneno haya yatafuatana vipi katika kamusi? beti, beba, babu, bibiQuestion 29
- Chagua kielezi katika sentensi hii. Mtoto amekula chakula chake vizuri.Question 30
- Kitu kinachosaidia kichwa kufikiri niQuestion 1
- Mtu akitaka kuhisi ladha ya kitu atatumiaQuestion 2
- Nguo tunafua ilhali mwili tunaQuestion 3
- Kazi ya tumbo niQuestion 4