CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 29
Maneno haya yatafuatana vipi katika kamusi? beti, beba, babu, bibi
From Kiswahili — Midterm One Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kamusi
29. Maneno haya yatafuatana vipi katika kamusi? beti, beba, babu, bibi
- Abibi, babu, beba, beti
- Bbabu, beti, beba, bibi
- Cbeba, babu, bibi, beti
- Dbabu, beba, beti, bibi
Answer
D. babu, beba, beti, bibi
Kwa mpangilio wa alfabeti: ba (babu), be (beba, beti: b kabla ya t), bi (bibi).
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua kielezi katika sentensi hii. Mtoto amekula chakula chake vizuri.Question 30
- Kitu kinachosaidia kichwa kufikiri niQuestion 1
- Mtu akitaka kuhisi ladha ya kitu atatumiaQuestion 2
- Nguo tunafua ilhali mwili tunaQuestion 3
- Kazi ya tumbo niQuestion 4
- Anayezungumza anaupenda mwili wake kwa hivyo anauQuestion 5