naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 15

Nini kitamfanyikia mgonjwa asipokula?

From Kiswahili — Midterm One Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kisha ujibu swali la 11-15.
Mama alikuwa mgonjwa. Akawa amelala kitandani. Alinituma niende nimwite shangazi. Nilienda upesi sana. Shangazi alipokuja alimpikia uji akanywa. Chakula kingine alichopika, mama alikula kidogo tu. Shangazi alipoenda kuteka maji, mama alikuwa ameanza kupata nafuu.
Niligundua kuwa mtu akiwa mgonjwa anafaa awe na mtu wa kuongea naye kidogokidogo. Pia awe na mtu wa kumwangalia na kumhudumia kwa shughuli mbalimbali; akihitaji kitu chochote aletewe.
Pia mgonjwa anafaa ale na anywe. Kula kunaongeza nguvu na kumsaidia mgonjwa apone haraka. Tusiwaache wagonjwa peke yao bila kuwasaidia. Wasipohudumiwa vizuri wanaweza kuaga!

15. Nini kitamfanyikia mgonjwa asipokula?

  1. AHupona haraka.
  2. BHudhoofika zaidi.
  3. CHuogopa kupona.
  4. DHumwita shangazi.

Answer

B. Hudhoofika zaidi.

Kula huongeza nguvu; asipokula, mgonjwa hudhoofika.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test