CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 19
Chagua jibu sahihi la pengo 19.
From Kiswahili — Midterm One Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kujaza Mapengo
Jaza mapengo kwa majibu sahihi.
Siku __16__ kutoa zawadi ilifika. Kulikuwa na zawadi __17__. Mwalimu __18__ aliwapa wanafunzi waliofanya vyema katika mtihani tuzo. Mimi nilipewa kamusi __19__ Kiswahili. Nilifurahi sana. Kila mtu shuleni __20__ alifurahi pia.
19. Chagua jibu sahihi la pengo 19.
- Aya
- Bla
- Ccha
- Dwa
Answer
A. ya
Kamusi ni ngeli ya I-ZI: kamusi ya Kiswahili.