CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 25
Kamilisha: Mrefu kama
From Kiswahili — Midterm One Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Msamiati, Tashbihi
25. Kamilisha: Mrefu kama
- Amiwa
- Btwiga
- Cmti
- Dwaya.
Answer
B. twiga
Tashbihi ni "mrefu kama twiga".
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni ipi ni nomino ya pekee kati ya hizi?Question 26
- Kamilisha methali hii: Mtaka cha mvunguni ___Question 27
- Kitegue kitendawili kifuatacho. Nyumba yangu haina mlango.Question 28
- Maneno haya yatafuatana vipi katika kamusi? beti, beba, babu, bibiQuestion 29
- Chagua kielezi katika sentensi hii. Mtoto amekula chakula chake vizuri.Question 30
- Kitu kinachosaidia kichwa kufikiri niQuestion 1