CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 26
Ni ipi ni nomino ya pekee kati ya hizi?
From Kiswahili — Midterm One Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi, Nomino
26. Ni ipi ni nomino ya pekee kati ya hizi?
- AKitabu
- BChumvi
- CAprili
- DGarimoshi.
Answer
C. Aprili
Aprili ni jina la mwezi, nomino ya pekee.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha methali hii: Mtaka cha mvunguni ___Question 27
- Kitegue kitendawili kifuatacho. Nyumba yangu haina mlango.Question 28
- Maneno haya yatafuatana vipi katika kamusi? beti, beba, babu, bibiQuestion 29
- Chagua kielezi katika sentensi hii. Mtoto amekula chakula chake vizuri.Question 30
- Kitu kinachosaidia kichwa kufikiri niQuestion 1
- Mtu akitaka kuhisi ladha ya kitu atatumiaQuestion 2