naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 21

Jibu swali kulingana na maagizo. Ni neno lipi kati ya haya lililo katika ngeli ya LI-LI?

From Kiswahili — Midterm One Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli

21. Jibu swali kulingana na maagizo.
Ni neno lipi kati ya haya lililo katika ngeli ya LI-LI?

  1. AGari
  2. BJasho
  3. CTunda
  4. DJani.

Answer

B. Jasho

Jasho halina wingi: jasho limenitoka (umoja na wingi ni LI). Tunda na jani ni LI-YA; gari ni I-ZI.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test