naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 13

Kupata nafuu ni sawa na

From Kiswahili — Midterm One Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kisha ujibu swali la 11-15.
Mama alikuwa mgonjwa. Akawa amelala kitandani. Alinituma niende nimwite shangazi. Nilienda upesi sana. Shangazi alipokuja alimpikia uji akanywa. Chakula kingine alichopika, mama alikula kidogo tu. Shangazi alipoenda kuteka maji, mama alikuwa ameanza kupata nafuu.
Niligundua kuwa mtu akiwa mgonjwa anafaa awe na mtu wa kuongea naye kidogokidogo. Pia awe na mtu wa kumwangalia na kumhudumia kwa shughuli mbalimbali; akihitaji kitu chochote aletewe.
Pia mgonjwa anafaa ale na anywe. Kula kunaongeza nguvu na kumsaidia mgonjwa apone haraka. Tusiwaache wagonjwa peke yao bila kuwasaidia. Wasipohudumiwa vizuri wanaweza kuaga!

13. Kupata nafuu ni sawa na

  1. Akuugua zaidi
  2. Bkula chakula
  3. Ckupona
  4. Dkuongea na mtu.

Answer

C. kupona

Kupata nafuu ni kuanza kupona.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test