CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026: End of Year Assessment 2026 (Set 15)
Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) · End of Year Assessment 2026 (Set 15) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Mgonjwa anaumwa na nini?Answer: B. Kichwa
- Question 2: Mgonjwa alitumwa kwenye ___ kufanyiwa uchunguzi.Answer: C. Maabara
- Question 3: Mgonjwa alianza kuwa na shida kwa muda wa muda gani?Answer: A. Wiki moja
- Question 4: Mgonjwa alitumwa kwenye maabara kufanya uchunguzi wa ___.Answer: B. Haja kubwa na ndogo
- Question 5: Anayewatibu wagonjwa huitwa nani?Answer: B. Daktari
- Question 6: Kulingana na ufahamu huu, mtoto ni nani?Answer: B. Aliye chini ya umri wa miaka kumi na minane
- Question 7: Ni haki ngapi za watoto zimetajwa kwenye kifungu ulichokisoma?Answer: B. 6
- Question 8: Ni nani, kulingana na taarifa uliyoisoma, anafaa kuwaheshimu watu wote?Answer: D. Mtoto
- Question 9: Ipi si haki ya watoto?Answer: B. Kunajisiwa
- Question 10: Mwalimu wa kina mwandishi aliwaeleza kuwa miti ___.Answer: C. Hutusaidia kwa njia mbalimbali
- Question 11: Kulingana na ufahamu huu, mazingira yetu yatavutia ikiwa watu ___.Answer: D. Watapanda miti
- Question 12: Mwishoni mwa taarifa, tunashauriwa ___.Answer: A. Kupanda miti baada ya kuikata
- Question 13: Kwa nini Hassan alienda nyumbani?Answer: C. Alikuwa ameamriwa na daktari akapumzike nyumbani
- Question 14: Maneno “alipigwa na butwaa” kama yalivyotumiwa katika kifungu yana maana gani?Answer: C. Alishangaa sana
- Question 15: Ni methali gani inayoafikiana na kifungu ulichokisoma?Answer: B. Siku za mwizi ni arobaini
- Question 16: Chagua jibu sahihi la pengo la 16.Answer: D. Nipendacho
- Question 17: Chagua jibu sahihi la pengo la 17.Answer: B. Unga
- Question 18: Chagua jibu sahihi la pengo la 18.Answer: D. Kucheza
- Question 19: Chagua jibu sahihi la pengo la 19.Answer: A. Mboga
- Question 20: Chagua jibu sahihi la pengo la 20.Answer: C. Magonjwa
- Question 21: Maneno “polepole,” “vizuri” na “upesi” ni mifano ya:Answer: B. Vielezi
- Question 22: Andika sentensi hii katika wingi. Shati safi hupendeza.Answer: D. Mashati safi hupendeza.
- Question 23: Nomino “mjomba” hupatikana katika ngeli gani?Answer: B. A–WA
- Question 24: Hamisa aliondoka nyumbani saa ngapi kulingana na saa ifuatayo?Answer: D. Saa kumi na mbili kamili
- Question 25: Tegua kitendawili kifuatacho. Lile zari lapendeza, lakini halikai.Answer: C. Ua
- Question 26: Jibu la salamu “Shikamoo” ni:Answer: C. Marahaba
- Question 27: Wageni wanaozuru mbuga zetu huitwa:Answer: C. Watalii
- Question 28: Andika wingi wa “mnyama wa majini.”Answer: B. Wanyama wa majini
- Question 29: Kamilisha sentensi hii. Nilitunukiwa shahada hii. Shahada hii sasa ni ___.Answer: A. Yangu
- Question 30: Kamilisha sentensi hii. Urembo ___ utawavutia watazamaji.Answer: A. Wake