naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 10

Mwalimu wa kina mwandishi aliwaeleza kuwa miti ___.

From Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali.
Upanzi wa miti ni jambo njema sana. Mwalimu wetu wa Sayansi alitueleza kwamba miti hutusaidia kwa namna tofauti tofauti. Alisema kwamba bila miti, mazingira yetu hayawezi kuvutia bali yatachukiza mno. Mmomonyoko wa udongo nao utaenea kwa kasi sana na mwishowe nchi yetu itakuwa jangwa, yaani ardhi kavu isiyo na mimea yoyote. Ingawa miti hutufaidi kwa njia nyingi, tukikata mti mmoja tupande mingine miwili au zaidi.

10. Mwalimu wa kina mwandishi aliwaeleza kuwa miti __________.

  1. AHuleta hasara kwa wale wanaoipanda
  2. BHaina faida yoyote kwa mwanadamu
  3. CHutusaidia kwa njia mbalimbali
  4. DHusababisha mmomonyoko wa udongo

Answer

C. Hutusaidia kwa njia mbalimbali

"Miti hutusaidia kwa namna tofauti tofauti."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test