CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 12
Mwishoni mwa taarifa, tunashauriwa ___.
From Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali.
Upanzi wa miti ni jambo njema sana. Mwalimu wetu wa Sayansi alitueleza kwamba miti hutusaidia kwa namna tofauti tofauti. Alisema kwamba bila miti, mazingira yetu hayawezi kuvutia bali yatachukiza mno. Mmomonyoko wa udongo nao utaenea kwa kasi sana na mwishowe nchi yetu itakuwa jangwa, yaani ardhi kavu isiyo na mimea yoyote. Ingawa miti hutufaidi kwa njia nyingi, tukikata mti mmoja tupande mingine miwili au zaidi.
12. Mwishoni mwa taarifa, tunashauriwa __________.
- AKupanda miti baada ya kuikata
- BKupanda miti miwili au zaidi kila siku
- CKuacha kutumia miti
- DKupanda mti mmoja baada ya kukata mmoja
Answer
A. Kupanda miti baada ya kuikata
Tukikata mti tupande mingine.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kwa nini Hassan alienda nyumbani?Question 13
- Maneno “alipigwa na butwaa” kama yalivyotumiwa katika kifungu yana maana gani?Question 14
- Ni methali gani inayoafikiana na kifungu ulichokisoma?Question 15
- Chagua jibu sahihi la pengo la 16.Question 16
- Chagua jibu sahihi la pengo la 17.Question 17
- Chagua jibu sahihi la pengo la 18.Question 18