naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 17

Chagua jibu sahihi la pengo la 17.

From Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ufahamu wa Kujaza Pengo

Soma kifungu kisha uchague jibu lifaalo kati ya yale uliyopewa.
Chakula __________ (16) ni ugali. Chakula hiki hupikwa kwa kutumia __________ (17). Chakula hiki huupa mwili nguvu ya __________ (18) na pia kufanya kazi. Ugali huweza kuliwa pamoja na nyama, samaki, maziwa au mboga. Mimi hufurahia ugali kwa kabeji. Kabeji ni __________ (19), nazo mboga huipa miili yetu vitamini ambayo hutukinga tusipate __________ (20).

17. Chagua jibu sahihi la pengo la 17.

  1. ANyanya
  2. BUnga
  3. CVijiko
  4. DMikono

Answer

B. Unga

Ugali hupikwa kwa unga.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test