CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 20
Chagua jibu sahihi la pengo la 20.
From Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ufahamu wa Kujaza Pengo
Soma kifungu kisha uchague jibu lifaalo kati ya yale uliyopewa.
Chakula __________ (16) ni ugali. Chakula hiki hupikwa kwa kutumia __________ (17). Chakula hiki huupa mwili nguvu ya __________ (18) na pia kufanya kazi. Ugali huweza kuliwa pamoja na nyama, samaki, maziwa au mboga. Mimi hufurahia ugali kwa kabeji. Kabeji ni __________ (19), nazo mboga huipa miili yetu vitamini ambayo hutukinga tusipate __________ (20).
20. Chagua jibu sahihi la pengo la 20.
- AShinda
- BKuungua
- CMagonjwa
- DDawa
Answer
C. Magonjwa
Vitamini hutukinga tusipate magonjwa.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Maneno “polepole,” “vizuri” na “upesi” ni mifano ya:Question 21
- Andika sentensi hii katika wingi. Shati safi hupendeza.Question 22
- Nomino “mjomba” hupatikana katika ngeli gani?Question 23
- Hamisa aliondoka nyumbani saa ngapi kulingana na saa ifuatayo?Question 24
- Tegua kitendawili kifuatacho. Lile zari lapendeza, lakini halikai.Question 25
- Jibu la salamu “Shikamoo” ni:Question 26