CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 22
Andika sentensi hii katika wingi. Shati safi hupendeza.
From Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
22. Andika sentensi hii katika wingi.
Shati safi hupendeza.
- AMashati masafi hupendeza.
- BShati chafu halipendezi.
- CShati safi hupendeza.
- DMashati safi hupendeza.
Answer
D. Mashati safi hupendeza.
Shati – mashati; "safi" haibadiliki.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Nomino “mjomba” hupatikana katika ngeli gani?Question 23
- Hamisa aliondoka nyumbani saa ngapi kulingana na saa ifuatayo?Question 24
- Tegua kitendawili kifuatacho. Lile zari lapendeza, lakini halikai.Question 25
- Jibu la salamu “Shikamoo” ni:Question 26
- Wageni wanaozuru mbuga zetu huitwa:Question 27
- Andika wingi wa “mnyama wa majini.”Question 28