naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 11

Kulingana na ufahamu huu, mazingira yetu yatavutia ikiwa watu ___.

From Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali.
Upanzi wa miti ni jambo njema sana. Mwalimu wetu wa Sayansi alitueleza kwamba miti hutusaidia kwa namna tofauti tofauti. Alisema kwamba bila miti, mazingira yetu hayawezi kuvutia bali yatachukiza mno. Mmomonyoko wa udongo nao utaenea kwa kasi sana na mwishowe nchi yetu itakuwa jangwa, yaani ardhi kavu isiyo na mimea yoyote. Ingawa miti hutufaidi kwa njia nyingi, tukikata mti mmoja tupande mingine miwili au zaidi.

11. Kulingana na ufahamu huu, mazingira yetu yatavutia ikiwa watu __________.

  1. AWataanza kukata miti
  2. BWatakata miti bila kupanda mingine
  3. CWataacha kabisa kutumia miti
  4. DWatapanda miti

Answer

D. Watapanda miti

Bila miti mazingira hayawezi kuvutia.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test