CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 9
Ipi si haki ya watoto?
From Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali.
Kulingana na Katiba mpya ya Kenya, mtoto ni mtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka kumi na minane. Mambo ambayo kila mtoto anapaswa kupewa au kupata huitwa haki za watoto.
Baadhi ya haki hizo ni kama vile kupata malezi bora, matibabu, elimu, chakula na ulinzi, pamoja na kulindwa kutokana na dhuluma zozote zile. Mtoto anapodhulumiwa anapaswa kuripoti kwa mlezi wake, polisi, mwalimu au yeyote katika jamii anayeweza kumpa usaidizi.
Baadhi ya dhuluma hizo ni kunajisiwa, kukeketwa kwa wasichana, kunyimwa chakula na kadhalika. Mtoto naye anastahili kuwaheshimu watu wote katika jamii.
9. Ipi si haki ya watoto?
- AKupata matibabu
- BKunajisiwa
- CKuvalishwa
- DKulishwa
Answer
B. Kunajisiwa
Kunajisiwa ni dhuluma, si haki.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Mwalimu wa kina mwandishi aliwaeleza kuwa miti ___.Question 10
- Kulingana na ufahamu huu, mazingira yetu yatavutia ikiwa watu ___.Question 11
- Mwishoni mwa taarifa, tunashauriwa ___.Question 12
- Kwa nini Hassan alienda nyumbani?Question 13
- Maneno “alipigwa na butwaa” kama yalivyotumiwa katika kifungu yana maana gani?Question 14
- Ni methali gani inayoafikiana na kifungu ulichokisoma?Question 15