naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 1

Mgonjwa anaumwa na nini?

From Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali.
Daktari: Pole kwa maumivu, Mzee. Karibu kiti ukae.
Mgonjwa: Asante, Daktari.
Daktari: Hebu nieleze, unaumwa wapi?
Mgonjwa: Ninaumwa na tumbo na kichwa.
Daktari: Pole sana. Shida hiyo ilianza lini?
Mgonjwa: Karibu wiki moja sasa.
Daktari: Je, unahisi maumivu unapokwenda haja ndogo?
Mgonjwa: Hapana, Daktari. Tumbo tu ndilo linauma.
Daktari: Sawa. Nitakutuma kwenye maabara ufanyiwe uchunguzi wa haja kubwa na ndogo.
Mgonjwa: Sawa, Daktari.

1. Mgonjwa anaumwa na nini?

  1. AMgongo
  2. BKichwa
  3. CMkono
  4. DMguu

Answer

B. Kichwa

Mgonjwa anasema anaumwa na tumbo na kichwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test