CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 2
Mgonjwa alitumwa kwenye ___ kufanyiwa uchunguzi.
From Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali.
Daktari: Pole kwa maumivu, Mzee. Karibu kiti ukae.
Mgonjwa: Asante, Daktari.
Daktari: Hebu nieleze, unaumwa wapi?
Mgonjwa: Ninaumwa na tumbo na kichwa.
Daktari: Pole sana. Shida hiyo ilianza lini?
Mgonjwa: Karibu wiki moja sasa.
Daktari: Je, unahisi maumivu unapokwenda haja ndogo?
Mgonjwa: Hapana, Daktari. Tumbo tu ndilo linauma.
Daktari: Sawa. Nitakutuma kwenye maabara ufanyiwe uchunguzi wa haja kubwa na ndogo.
Mgonjwa: Sawa, Daktari.
2. Mgonjwa alitumwa kwenye __________ kufanyiwa uchunguzi.
- AHospitali
- BZahanati
- CMaabara
- DShule
Answer
C. Maabara
Daktari anasema atamtuma kwenye maabara.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Mgonjwa alianza kuwa na shida kwa muda wa muda gani?Question 3
- Mgonjwa alitumwa kwenye maabara kufanya uchunguzi wa ___.Question 4
- Anayewatibu wagonjwa huitwa nani?Question 5
- Kulingana na ufahamu huu, mtoto ni nani?Question 6
- Ni haki ngapi za watoto zimetajwa kwenye kifungu ulichokisoma?Question 7
- Ni nani, kulingana na taarifa uliyoisoma, anafaa kuwaheshimu watu wote?Question 8