CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 5
Anayewatibu wagonjwa huitwa nani?
From Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali.
Daktari: Pole kwa maumivu, Mzee. Karibu kiti ukae.
Mgonjwa: Asante, Daktari.
Daktari: Hebu nieleze, unaumwa wapi?
Mgonjwa: Ninaumwa na tumbo na kichwa.
Daktari: Pole sana. Shida hiyo ilianza lini?
Mgonjwa: Karibu wiki moja sasa.
Daktari: Je, unahisi maumivu unapokwenda haja ndogo?
Mgonjwa: Hapana, Daktari. Tumbo tu ndilo linauma.
Daktari: Sawa. Nitakutuma kwenye maabara ufanyiwe uchunguzi wa haja kubwa na ndogo.
Mgonjwa: Sawa, Daktari.
5. Anayewatibu wagonjwa huitwa nani?
- AMuuguzi
- BDaktari
- CMwalimu
- DMuhubiri
Answer
B. Daktari
Daktari huwatibu wagonjwa.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na ufahamu huu, mtoto ni nani?Question 6
- Ni haki ngapi za watoto zimetajwa kwenye kifungu ulichokisoma?Question 7
- Ni nani, kulingana na taarifa uliyoisoma, anafaa kuwaheshimu watu wote?Question 8
- Ipi si haki ya watoto?Question 9
- Mwalimu wa kina mwandishi aliwaeleza kuwa miti ___.Question 10
- Kulingana na ufahamu huu, mazingira yetu yatavutia ikiwa watu ___.Question 11