CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term Exam 2025: Midterm Assessment 2025 (Set 14)
Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Maria na Rukia walipatana ukumbini wakati gani?Answer: B. Jioni
- Question 2: Maria alifika mapema kwa sababuAnswer: D. aliyathamini maonyesho ya kitamanduni.
- Question 3: Malipo yaliyotajwa katika kifungu hiki niAnswer: C. kiingilio
- Question 4: Inaonekana Maria na Rukia niAnswer: A. ndugu
- Question 5: Maria na Rukia walienda kutazama maonyesho wapi?Answer: D. Ukumbini.
- Question 6: Ufahamu huu unazungumzia nini?Answer: B. Ufisadi
- Question 7: Ipi kati ya hizi si njia ambayo watu hushiriki ufisadi kulingana na kifungu?Answer: C. Kuondolewa makosa unapokamatwa
- Question 8: Kulingana na kifungu hiki, ufisadi husababisha nini?Answer: B. Huduma muhimu kukosa kufikia wananchi.
- Question 9: Ni jukumu la nani kukomesha ufisadi?Answer: C. Kila mwananchi
- Question 10: Ni methali ipi inaweza kutumika kueleza ujumbe katika aya ya mwisho?Answer: C. Kidole kimoja hakivunji chawa.
- Question 11: Mwandishi wa barua hii anaitwaje?Answer: B. Jitihada
- Question 12: Barua ya aina hii huitwa baruaAnswer: A. ya kirafiki
- Question 13: “...mzima kama kigongo” ni fani gani ya lugha?Answer: B. Tashbihi
- Question 14: Chagua sentensi ambayo ni sahihi kulingana na kifungu.Answer: C. Marafiki wengine pia walialikwa
- Question 15: Mwandishi ametumia maneno hayo yote ili kuonyesha adabu. Ni lipi ambalo halionyeshi adabu?Answer: B. Lengo
- Question 16: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 16.Answer: B. yetu
- Question 17: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 17.Answer: D. pazia
- Question 18: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 18.Answer: A. runinga
- Question 19: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 19.Answer: C. hupiga deki
- Question 20: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 20.Answer: B. asubuhi
- Question 21: Kutoka swali 21-30, jibu kulingana na maagizo. Ulipofika nyumbani jioni ulimpata nyanya yako akiwa amewatembelea. Ungemjulia hali ya…Answer: C. Shikamoo nyanya.
- Question 22: Chagua wingi wa sentensi hii. Mtoto aliacha sahani yake shuleni.Answer: B. Watoto waliacha sahani zao shuleni
- Question 23: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo. Juzi ___ nyumba kwetu.Answer: B. tulisherehekea
- Question 24: Ni methali gani kati ya hizi haihusiani na mzazi anayetarajiwa kumlea mwanawe kwa njia inayofaa?Answer: C. Mchagua jembe si mkulima.
- Question 25: Kamilisha sentensi kwa kiunganishi kifaacho zaidi. Alipigiwa makofi ___ hakuwa na furaha baadaye.Answer: A. bali
- Question 26: Tambua nomimo iliyopigiwa mstari ni ya aina gani katika sentensi ifuatayo. Bi Mpole anajulikana kwa wema wake.Answer: C. dhahania
- Question 27: Taja jina la umbo hili.Answer: D. Pia.
- Question 28: Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.Answer: A. Wageni wote wamewasili
- Question 29: Wanafunzi wa Gredi ya Tano waliulizwa na mwalimu wao kutaja baadhi ya nomino katika ngeli ya U-ZI . Ni yupi aliyekosea?Answer: D. Wema - Nguo.
- Question 30: Tegua kitendawili kifuatacho. Anachora lakini hajui achoracho.Answer: B. Konokono