CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term Exam 2025 · Question 24
Ni methali gani kati ya hizi haihusiani na mzazi anayetarajiwa kumlea mwanawe kwa njia inayofaa?
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
24. Ni methali gani kati ya hizi haihusiani na mzazi anayetarajiwa kumlea mwanawe kwa njia inayofaa?
- AMtoto wa nyoka ni nyoka.
- BMtoto akibebwa hutazama kisogo cha nina.
- CMchagua jembe si mkulima.
- DAsiyesikia la mkuu huvunjika guu.
Answer
C. Mchagua jembe si mkulima.
"Mchagua jembe si mkulima" inahusu kazi, si malezi.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha sentensi kwa kiunganishi kifaacho zaidi. Alipigiwa makofi ___ hakuwa na furaha baadaye.Question 25
- Tambua nomimo iliyopigiwa mstari ni ya aina gani katika sentensi ifuatayo. Bi Mpole anajulikana kwa wema wake.Question 26
- Taja jina la umbo hili.Question 27
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.Question 28
- Wanafunzi wa Gredi ya Tano waliulizwa na mwalimu wao kutaja baadhi ya nomino katika ngeli ya U-ZI . Ni yupi aliyekosea?Question 29
- Tegua kitendawili kifuatacho. Anachora lakini hajui achoracho.Question 30