CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term Exam 2025 · Question 29
Wanafunzi wa Gredi ya Tano waliulizwa na mwalimu wao kutaja baadhi ya nomino katika ngeli ya U-ZI . Ni yupi aliyekosea?
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
29. Wanafunzi wa Gredi ya Tano waliulizwa na mwalimu wao kutaja baadhi ya nomino katika ngeli ya U-ZI . Ni yupi aliyekosea?
- AChaurembo - Nywele.
- BJitihada - Wembe.
- CChausiku - Nyuso.
- DWema - Nguo.
Answer
D. Wema - Nguo.
Nguo iko katika ngeli ya I-ZI.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Tegua kitendawili kifuatacho. Anachora lakini hajui achoracho.Question 30
- Maria na Rukia walipatana ukumbini wakati gani?Question 1
- Maria alifika mapema kwa sababuQuestion 2
- Malipo yaliyotajwa katika kifungu hiki niQuestion 3
- Inaonekana Maria na Rukia niQuestion 4
- Maria na Rukia walienda kutazama maonyesho wapi?Question 5