naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term Exam 2025 · Question 26

Tambua nomimo iliyopigiwa mstari ni ya aina gani katika sentensi ifuatayo. Bi Mpole anajulikana kwa wema wake.

From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Nomino

26. Tambua nomimo iliyopigiwa mstari ni ya aina gani katika sentensi ifuatayo.
Bi Mpole anajulikana kwa wema wake.

  1. Akawaida
  2. Bwingi
  3. Cdhahania
  4. Dmakundi

Answer

C. dhahania

Wema hauwezi kushikika: nomino dhahania.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test