CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term Exam 2025 · Question 23
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo. Juzi ___ nyumba kwetu.
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
23. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo.
Juzi ___________ nyumba kwetu.
- Ahusherehekea
- Btulisherehekea
- Ctunasherehekea
- Dtutasherehekea
Answer
B. tulisherehekea
Juzi ni wakati uliopita: tuli-.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni methali gani kati ya hizi haihusiani na mzazi anayetarajiwa kumlea mwanawe kwa njia inayofaa?Question 24
- Kamilisha sentensi kwa kiunganishi kifaacho zaidi. Alipigiwa makofi ___ hakuwa na furaha baadaye.Question 25
- Tambua nomimo iliyopigiwa mstari ni ya aina gani katika sentensi ifuatayo. Bi Mpole anajulikana kwa wema wake.Question 26
- Taja jina la umbo hili.Question 27
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.Question 28
- Wanafunzi wa Gredi ya Tano waliulizwa na mwalimu wao kutaja baadhi ya nomino katika ngeli ya U-ZI . Ni yupi aliyekosea?Question 29