naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term Exam 2025 · Question 22

Chagua wingi wa sentensi hii. Mtoto aliacha sahani yake shuleni.

From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi

22. Chagua wingi wa sentensi hii.
Mtoto aliacha sahani yake shuleni.

  1. AWatoto waliacha sahani zake shuleni
  2. BWatoto waliacha sahani zao shuleni
  3. CWatoto waliacha masahani zao shuleni
  4. DWatoto waliacha masahani yao shuleni.

Answer

B. Watoto waliacha sahani zao shuleni

Sahani (I-ZI) → sahani zao.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test