CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term Exam 2025 · Question 21
Kutoka swali 21-30, jibu kulingana na maagizo. Ulipofika nyumbani jioni ulimpata nyanya yako akiwa amewatembelea. Ungemjulia hali ya kumwambiaje?
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maamkizi
21. Kutoka swali 21-30, jibu kulingana na maagizo.
Ulipofika nyumbani jioni ulimpata nyanya yako akiwa amewatembelea. Ungemjulia hali ya kumwambiaje?
- AMambo nyanya.
- BBuriani nyanya.
- CShikamoo nyanya.
- DAlamsiki nyanya.
Answer
C. Shikamoo nyanya.
Mkubwa husalimiwa kwa "Shikamoo".
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua wingi wa sentensi hii. Mtoto aliacha sahani yake shuleni.Question 22
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo. Juzi ___ nyumba kwetu.Question 23
- Ni methali gani kati ya hizi haihusiani na mzazi anayetarajiwa kumlea mwanawe kwa njia inayofaa?Question 24
- Kamilisha sentensi kwa kiunganishi kifaacho zaidi. Alipigiwa makofi ___ hakuwa na furaha baadaye.Question 25
- Tambua nomimo iliyopigiwa mstari ni ya aina gani katika sentensi ifuatayo. Bi Mpole anajulikana kwa wema wake.Question 26
- Taja jina la umbo hili.Question 27