naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term Exam 2025 · Question 16

Chagua jibu sahihi kujaza pengo 16.

From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Pengo

Kutoka swali la 16 - 20, chagua jibu lifaalo kujaza mapengo.
Nyumba __16__ ina sebule kubwa. Dirisha lina __17__ maridadi. Pia, kuna __18__ kubwa ukutani ambayo huwa tunatazama ili kujiburudisha na vibonzo au nyimbo. Mama __19__ kila __20__ ili kuondoa vumbi.

16. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 16.

  1. Aletu
  2. Byetu
  3. Ckwetu
  4. Dmwetu

Answer

B. yetu

Nyumba (ngeli ya I-ZI): nyumba yetu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test