CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term Exam 2025 · Question 17
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 17.
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Pengo
Kutoka swali la 16 - 20, chagua jibu lifaalo kujaza mapengo.
Nyumba __16__ ina sebule kubwa. Dirisha lina __17__ maridadi. Pia, kuna __18__ kubwa ukutani ambayo huwa tunatazama ili kujiburudisha na vibonzo au nyimbo. Mama __19__ kila __20__ ili kuondoa vumbi.
17. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 17.
- Azulia
- Bpasia
- Cblanketi
- Dpazia
Answer
D. pazia
Dirisha huwekwa pazia.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 18.Question 18
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 19.Question 19
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo 20.Question 20
- Kutoka swali 21-30, jibu kulingana na maagizo. Ulipofika nyumbani jioni ulimpata nyanya yako akiwa amewatembelea.…Question 21
- Chagua wingi wa sentensi hii. Mtoto aliacha sahani yake shuleni.Question 22
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo. Juzi ___ nyumba kwetu.Question 23