naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Mid Term Exam 2025 · Question 10

Ni methali ipi inaweza kutumika kueleza ujumbe katika aya ya mwisho?

From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kwa makini kisha ujibu maswali yanayofuata.
Ufisadi umekuwa janga kubwa katika nchi yetu ya Kenya. Katika miji mikubwa, midogo au vijijini ufisadi umekuwa jambo la kawaida. Watu hushiriki ufisadi kwa sababu mbalimbali kama vile kupata huduma mbalimbali, kupata kazi, bidhaa bandia kutoka sehemu moja jadi nyingine.
Nchi ya Kenya hupoteza pesa nyingi sana kila mwaka kutokana na ufisadi. Kwa sababu hii, huduma zinazofaa kuwafikia wananchi haziwezi kama vile: barabara kujengwa, elimu bora, kujenga hospitali na kupata maji safi.
Jambo hili hivi sasa limetufika kooni na hatuwezi kulinyamazia kamwe. Ni lazima tusimame imara kupiga vita dhidi ya ufisadi. Hili ni jukumu langu na lako. Naomba kila mmoja wetu tushirikiane ili tufaulu katika vita dhidi ya ufisadi.

10. Ni methali ipi inaweza kutumika kueleza ujumbe katika aya ya mwisho?

  1. ABidii hulipa.
  2. BHasira ni hasara.
  3. CKidole kimoja hakivunji chawa.
  4. DMpiga ngumi ukuta huumiza mkonowe.

Answer

C. Kidole kimoja hakivunji chawa.

Aya inahimiza tushirikiane.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test