CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision Paper 4 (2026)
Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · Revision Paper 4 (2026) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Kamilisha salamu z z z vilivyoAnswer: B. marahaba
- Question 2: Kuna uwezekano Mwema alikuwa anatokaAnswer: C. Shambani
- Question 3: Gakuo alikuwa amebeba nini kwenye gunia?Answer: D. Jogoo
- Question 4: Jogoo aliyeibiwa alikuwa wa nani?Answer: A. Wa jirani wa Mwema
- Question 5: Kwa nini Gakuo alitimua mbio na kupotea?Answer: C. Aliogopa kushikwa na polisi
- Question 6: Kuna wanyama wangapi katika dunia hii?Answer: B. Wengi
- Question 7: Wanyama ambao huishi msituni huitwaAnswer: B. Wanyama wa pori
- Question 8: Ni mnyama gani ambaye hajatajwa kwenye kifungu hiki?Answer: D. Pundamilia
- Question 9: Heshima ni kitu ___Answer: A. muhimu
- Question 10: Watoto waheshimu watu wakubwa kwaAnswer: A. wadogo
- Question 11: Katika jamii, heshima huletaAnswer: D. Amani
- Question 12: Kulingana na ufahamu huu, sote tudumisheAnswer: B. Heshima
- Question 13: Je, nani alikuwa rafiki ya sungura?Answer: A. Fisi
- Question 14: Kazi ya sungura ilikuwa gani?Answer: C. Kutafuta chakula
- Question 15: Kwa nini sungura walikosana na fisi?Answer: A. Fisi alimla mtoto wa sungura
- Question 16: Chagua neno la nafasi ya 16.Answer: C. ofisini
- Question 17: Chagua neno la nafasi ya 17.Answer: D. nani
- Question 18: Chagua neno la nafasi ya 18.Answer: B. wazi
- Question 19: Chagua neno la nafasi ya 19.Answer: A. mimi
- Question 20: Chagua neno la nafasi ya 20.Answer: C. darasani
- Question 21: Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari. Mtoto huyu analia (neno: analia)Answer: D. anacheka
- Question 22: Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari. Yai hili ni moto (neno: moto)Answer: C. baridi
- Question 23: Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari. Huu ni mkoba wa nyanya (neno: nyanya)Answer: B. babu
- Question 24: Umbo hili huitwa ___Answer: A. Mstatili
- Question 25: Andika wingi. Karatasi ___Answer: B. karatasi
- Question 26: Andika wingi. EmbeAnswer: A. Maembe
- Question 27: Andika wingi. KondooAnswer: C. Kondoo
- Question 28: Kanusha. Mtoto anachezaAnswer: C. Mtoto hachezi
- Question 29: Kanusha. Mkulima analimaAnswer: B. Mkulima halimi
- Question 30: Kamilisha methali. Dawa ya moto ni ___Answer: A. moto