naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6

Kuna wanyama wangapi katika dunia hii?

From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali 6 hadi 8

MADA: WANYAMA

Kuna wanyama mbalimbali katika dunia hii. Kuna aina mbili ya wanyama katika dunia hii. Wanyama ambao huishi nyumbani na wanyama ambao hufugwa na mwanadamu. Wanyama wenye hukaa msituni huitwa wanyama wa pori. Mfano wa wanyama wa pori ni simba, ngiri, fisi na wengineo.

6. Kuna wanyama wangapi katika dunia hii?

  1. AWanne
  2. BWengi
  3. CWatano
  4. DWawili

Answer

B. Wengi

Kifungu kinasema, "Kuna wanyama mbalimbali katika dunia hii," yaani wanyama ni wengi. (Aina za wanyama ndizo mbili, si wanyama wenyewe.)

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test