naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7

Wanyama ambao huishi msituni huitwa

From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali 6 hadi 8

MADA: WANYAMA

Kuna wanyama mbalimbali katika dunia hii. Kuna aina mbili ya wanyama katika dunia hii. Wanyama ambao huishi nyumbani na wanyama ambao hufugwa na mwanadamu. Wanyama wenye hukaa msituni huitwa wanyama wa pori. Mfano wa wanyama wa pori ni simba, ngiri, fisi na wengineo.

7. Wanyama ambao huishi msituni huitwa

  1. ANyumbani
  2. BWanyama wa pori
  3. CWanyama wa nyumbani
  4. DWanyama wengi

Answer

B. Wanyama wa pori

Kifungu kinasema, "Wanyama wenye hukaa msituni huitwa wanyama wa pori."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test