CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 12
Kulingana na ufahamu huu, sote tudumishe
From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali 9 hadi 12
MADA: HESHIMA
Heshima ni kitu muhimu kwa watu wote. Watoto waheshimu watu wakubwa kwa wadogo. Watu wazima nao waheshimu wakubwa na hata wadogo. Katika jamii, heshima huleta matokeo bora ya mitihani. Sote tudumishe heshima.
12. Kulingana na ufahamu huu, sote tudumishe
- AMabishano
- BHeshima
- CVita
- DWivu
Answer
B. Heshima
Kifungu kinamalizia, "Sote tudumishe heshima."