CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 16
Chagua neno la nafasi ya 16.
From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu kifuatacho. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa
Mwalimu mkuu aliniita ___16___ mwake ili nimwambie ni ___17___ alikuwa amevunja saa ya darasani. Nilimwambia ___18___ kuwa ni ___19___ niliyeivunja kwa bahati mbaya wakati wa kufanya usafi ___20___.
16. Chagua neno la nafasi ya 16.
- Amaskani
- Bdarasani
- Cofisini
- Dnyumbani
Answer
C. ofisini
Mwalimu mkuu huita wanafunzi ofisini mwake. "Ofisini mwake" ni mahali pa kazi pa mwalimu mkuu.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno la nafasi ya 17.Question 17
- Chagua neno la nafasi ya 18.Question 18
- Chagua neno la nafasi ya 19.Question 19
- Chagua neno la nafasi ya 20.Question 20
- Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari. Mtoto huyu analia (neno: analia)Question 21
- Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari. Yai hili ni moto (neno: moto)Question 22