naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 17

Chagua neno la nafasi ya 17.

From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Soma kifungu kifuatacho. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa

Mwalimu mkuu aliniita ___16___ mwake ili nimwambie ni ___17___ alikuwa amevunja saa ya darasani. Nilimwambia ___18___ kuwa ni ___19___ niliyeivunja kwa bahati mbaya wakati wa kufanya usafi ___20___.

17. Chagua neno la nafasi ya 17.

  1. Awapi
  2. Bnini
  3. Cgani
  4. Dnani

Answer

D. nani

Swali linahusu mtu aliyevunja saa, kwa hivyo tunatumia "nani".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test