naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 15

Kwa nini sungura walikosana na fisi?

From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali 13 - 15

Hapo zamani za kale, fisi alikuwa rafiki mkuu wa sungura. Sungura alitafuta chakula naye fisi aliwinda nyama. Fisi alikuwa na watoto wawili naye sungura alikuwa na watoto sita. Siku moja, fisi alikosa kuwinda nyama na hapo akala mtoto mmoja wa sungura. Papo hapo, wakawa maadui wakuu.

15. Kwa nini sungura walikosana na fisi?

  1. AFisi alimla mtoto wa sungura
  2. BSungura alimnyima chakula
  3. CFisi alikataa kazi
  4. DSungura alikataa kazi

Answer

A. Fisi alimla mtoto wa sungura

Fisi alikosa nyama na akala mtoto mmoja wa sungura. Papo hapo wakawa maadui.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test