CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 14
Kazi ya sungura ilikuwa gani?
From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali 13 - 15
Hapo zamani za kale, fisi alikuwa rafiki mkuu wa sungura. Sungura alitafuta chakula naye fisi aliwinda nyama. Fisi alikuwa na watoto wawili naye sungura alikuwa na watoto sita. Siku moja, fisi alikosa kuwinda nyama na hapo akala mtoto mmoja wa sungura. Papo hapo, wakawa maadui wakuu.
14. Kazi ya sungura ilikuwa gani?
- AKulima
- BKuwinda nyama
- CKutafuta chakula
- DKulea watoto
Answer
C. Kutafuta chakula
Kifungu kinasema, "Sungura alitafuta chakula naye fisi aliwinda nyama."