CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 13
Je, nani alikuwa rafiki ya sungura?
From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali 13 - 15
Hapo zamani za kale, fisi alikuwa rafiki mkuu wa sungura. Sungura alitafuta chakula naye fisi aliwinda nyama. Fisi alikuwa na watoto wawili naye sungura alikuwa na watoto sita. Siku moja, fisi alikosa kuwinda nyama na hapo akala mtoto mmoja wa sungura. Papo hapo, wakawa maadui wakuu.
13. Je, nani alikuwa rafiki ya sungura?
- AFisi
- BSimba
- CWatoto
- DKuwinda
Answer
A. Fisi
Kifungu kinasema, "Fisi alikuwa rafiki mkuu wa sungura."