naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9

Heshima ni kitu ___

From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali 9 hadi 12

MADA: HESHIMA

Heshima ni kitu muhimu kwa watu wote. Watoto waheshimu watu wakubwa kwa wadogo. Watu wazima nao waheshimu wakubwa na hata wadogo. Katika jamii, heshima huleta matokeo bora ya mitihani. Sote tudumishe heshima.

9. Heshima ni kitu ____

  1. Amuhimu
  2. Bkubwa
  3. Cmbaya
  4. Dtata

Answer

A. muhimu

Kifungu kinaanza, "Heshima ni kitu muhimu kwa watu wote."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test